Waziri Mkuu Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa akipokea taarifa ya utekelezaji wa operesheni anwani za makazi kutoka kwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye Katika kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam.