Home Kitaifa MAJALIWA AMJULIA HALI MBUNGE WA VITI MAALUM MKOA WA LINDI, TECLA UNGELE

MAJALIWA AMJULIA HALI MBUNGE WA VITI MAALUM MKOA WA LINDI, TECLA UNGELE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimjulia hali Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Lindi, Tecla Ungele anayepata matibabu katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Dodoma, Novemba 21, 2023. Katikati ni Mganga Mfawidhi wa Hospitali hiyo Dkt. Ibenzi Ernest na kulia ni Afisa Muuguzi wa Hospitali hiyo Stanles Mahundo

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!