30 Oktoba, 2023 Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Ndugu Abdulrahaman Kinana amewaongoza Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Serikali pamoja na maelfu ya wananchi katika maazishi ya Marehemu Zelothe Stephen Zelothe aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha, yaliyofanyika kijijini kwake Olosiva Wilaya ya Arumeru, Mkoa wa Arusha.