Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Abdurahman Kinana amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Chama Cha SWAPO cha Namibia Komredi Sophia Shaningwa, Disemba 08, 2023, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar es Salaam.