Home Kitaifa KAMPUNI YA TIGO YAPONGEZWA NA SERIKALI KWA UTOAJI WA HUDUMA BORA

KAMPUNI YA TIGO YAPONGEZWA NA SERIKALI KWA UTOAJI WA HUDUMA BORA

 Kaimu Afisa Mkuu wa Tigo,Jerome Albou akimkaribisha Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Maryprisca Mahundi alipotembelea Makao makuu ya Tigo, ikiwa ni ziara ya Naibu Waziri kutembelea makampuni ya Mawasiliano nchini kwa lengo la kujionea utendaji kazi katika makampuni haya. Katika ziara yake Naibu Waziri alitembelea makao makuu ya Tigo na kupokelewa na Menejimenti yetu, na baadae akapata fursa ya kutembelea Call Center /Kituo cha Huduma kwa Wateja pamoja na Kituo cha Data (Data Centre).

Na wandishi Wetu.

Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Maryprisca Mahundi ametembelea Makao makuu ya Tigo, ikiwa ni ziara ya Naibu Waziri kutembelea makampuni ya Mawasiliano nchini kwa lengo la kujionea utendaji kazi katika makampuni haya. 

Katika ziara yake Naibu Waziri alitembelea makao makuu ya Tigo na kupokelewa na Menejimenti na baadae akapata fursa ya kutembelea Call Center /Kituo cha Huduma kwa Wateja pamoja na Kituo cha Data (Data Centre).

Aidha mbali na mambo mengine ameipongeza kampuni hiyo kwa kuendelea Kuthamini mchango unaotolewa tigo katika kuboresha huduma zake kwa watumiaji WA kampuni hiyo hapa nchini.

Mahundi amesema ili Serikali iweze kutekeleza majukumu yake Inahitaji uwekezaji wenye tija kama ambavyo tigo wamekuwa wakifanya.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!