Home Biashara KAMA UTANI : TIGO WAINOGESHA AFCON , WAPELEKA WATEJA WATANGAZA KUENDELEA KUMWAGA...

KAMA UTANI : TIGO WAINOGESHA AFCON , WAPELEKA WATEJA WATANGAZA KUENDELEA KUMWAGA MAMILIONI

Dickson Masoud Michael Mkazi wa Arusha , George Peter Dilunga – Tanga , Enock Ernest Charles – Zanzibar na Deodatus Damas Sagamiko – Dar Es Salaam , katika picha ya pamoja kama washindi wa Safari ya Ivory Coast kushuhudia Nusu Fainal za AFCON katika Promosheni ya ” Soka la Afrika Limeitika “ya Tigo ambapo Siri ya Ushindi ni kutuma NENO ” SOKA kwenda namba 15670.

Washindi wa Promosheni ya ” Soka la Afrika Limeitika” ya Tigo wameagwa Rasmi Leo Februari 05 , 2024 tayari kwa ajili ya safari kuelekea Ivory Coast kutazama  Michuano ya Nusu Fainali za AFCON LIVE zinazoendelea nchini humo, safari iliyogharamiwa kila kitu na Kampuni ya Tigo pamoja na Mshirika wake Green Telecom. 

Ikumbukwe ili kuibuka mshindi unatakiwa kutuma neno SOKA kwenda 15670 ambapo baada ya hapo utatakiwa kujibu maswali rahisi sana kuhusu SOKA , na kadri unavyojibu kwa usahihi ndivyo unavyojiongezea nafasi ya kuibuka mshindi . 

Promosheni bado inaendelea ambapo zawadi za Fedha Taslimu hadi Milioni 10 zitakua zikitolewa kila siku, kila wiki na kila Mwezi , Tuma Neno SOKA kwenda namba 15670 sasa na USHINDE.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!