Home Makala JINSI NILIVYOMFUKUZA KAZI BOSI ALIYEKATAA KUNIONGEZA MSHAHARA

JINSI NILIVYOMFUKUZA KAZI BOSI ALIYEKATAA KUNIONGEZA MSHAHARA

Jina langu ni Debora kutokea Nairobi nchini Kenya, katika umri wangu nimekuja kujua katika hii dunia kuna watu ambao wana roho za ajabu sana, unaweza kukuta mtu anakuchukia na kukufanyia mambo ya ajabu na aibu bila kujua sababu hasa ni ipi.

Hadi kuna muda unajikuta unajiuliza kama ulishawahi kumkosea mahali?, hapana!, ulishawahi hata kumchukulia kitu chake?, hapana!, ulishawahi kumsema vibaya kwa watu, hapana, sasa chuki yote hii inatoka wapi?.

Haya ndio maswali niliyokuwa najiuliza mimi Debora kila mara baada ya Bosi wangu kuwa na chuki ya waziwazi kwangu, alifanya mambo mengi ya kunikomoa ikiwa ni pamoja na kuninyima likizo, kunikata mshahara kwa kosa ambalo hata sijafanya,

Nakumbuka kuna kipindi alishawahi kunikata Ksh5,000(Tsh 75,000) kwa madai kuwa simekuwa siwajibiki vizuri katika kazi yangu, hadi wafanyakazi wenzangu walikuwa  wananionea huruma na kuamua kwenda kuniombea msamaha kama kuna sehemu nilimkwaza.

Aliwasikiliza na kuwaambia wakiendelea kufuatilia jambo hilo atawafukuza kazi wote, mfanyakazi mwenzangu aitwaye Grace aliniambia tuonane wikiendi inayofuata ana habari njema kwangu.

Basi wikiendi ilipowadia niliweza kukutana naye nyumbani kwake, tulizungumza mengi ila kubwa zaidi aliniambia anaweza kunisaidia kuhusu manyanyaso nayopata kwa Bosi wangu pale ofisini.

Nilimwambia itakuwa vizuri maana nilitakiwa kuongezwa mshahara takribani mwaka mmoja lakini Bosi hajafanya hivyo licha ya mkataba wangu kueleza hilo wazi wazi.

“Sasa sikiliza shoga yangu, nakupa namba ya Kiwanga Doctors, huyo mtalaamu ataweza kukusaidia kwa haraka, mimi pia aliwahi kunitoa katika changamoto moja kubwa huko nyuma,” Grace aliniambia.

Basi Grace alichukua simu yake na kunitajia namba hii +254 769404965 ya Kiwanga ambaye nilimpigia pale pale nikiwa na Rose na kumueleza jinsi Bosi wangu amekuwa akinitesa na kugoma kuniongezea mshahara.

Kiwanga Doctors aliniuliza maswali machache na kuniambia niwe na subra kwani muda wa siku tatu hali itakuwa shwari kabisa, nilikuwa na matumaini tele ya ushindi kutokana na habari kedekede nilizopewa kuhusu mtalaamu huyo.

Ghafla kesho yake kazini tulishangaa Mkuu wa Taasisi kaja ofisini kwetu na sio utaratibu wake kuja bila taarifa, ghafla ilitangazwa kuwa atakuwa na mkutano na wafanyakazi wote.

Katika ule mkutano Mkuu wa Taasisi alitangaza kumfukuza kasi Bosi kwa madai alikuwa akilazimisha kutoka kimapenzi na baadhi ya wafanyakazi pale ofisini jambo ambalo ni kinyume na maadili na kiapo alichoaapa kukisimamia.

Basi Bosi yule aliondoka kwa aibu kubwa na baada ya wiki alikuja Bosi mpya, huyu Bosi mpya anapenda wafanyakazi wote bila ubaguzi wowote, baada ya wiki moja aliniita ofisini kwake na kuniambia kuwa ameniongeza mashahara wangu mara mbili kwani mkataba wangu unaonyesha nilipaswa kuongezwa mashahara muda mrefu.

Kwa uzoefu wangu, Kiwanga Doctors anaweza kukusaidia kushinda bahati nasibu, kukupa mvuto wa kibiashara na mapenzi, kuwadhibiti adui zako, kushinda kesi mahakamani, kubaini anayechepuka na mume au mke wako. Tembelea tovuti yake www.kiwangadoctors.com au piga simu +254 769404965.

Mwisho.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!