Home Biashara JE WEWE NI MPENZI WA SOKA ? UNAWEZA KUSHINDA MAMILIONI YA PESA...

JE WEWE NI MPENZI WA SOKA ? UNAWEZA KUSHINDA MAMILIONI YA PESA KIRAHISI KUPITIA SIMU YAKO , TAZAMA HAPA

Mshindi wa promosheni ya Soka la Afrika limeitika Raphael Songalaeli (wa pili kulia)  akipokea mfano wa Hundi ya Shilingi Milioni 10  kutoka kwa Meneja wa Tigo Mkoa wa Shinyanga Sadock Phares, wakati wa hafla ya makabidhiano iliyofanyika nyumbani kwa mshindi mtaa wa Mwadui mjini Shinyanga, katikati ni Mwenyekiti wa Mtaa huo Nuru Juma, kushoto ni Mtaalam wa huduma za ziada wa Tigo Sostenes Raphael na Meneja Masoko wa kanda ya Ziwa wa Tigo Mussa Mwakapala (kulia) .

TAZAMA VIDEO YA TUKIO ZIMA HAPA 

Na Mwandishi Wetu.

” Ili kuibuka mshindi unatakiwa kutuma neno SOKA kwenda 15670 ambapo baada ya hapo utatakiwa kujibu maswali rahisi sana kuhusu SOKA , na kadri unavyojibu kwa usahihi ndivyo unavyojiongezea nafasi ya kuibuka mshindi , Promosheni bado inaendelea ambapo zawadi za Fedha Taslimu hadi Milioni 10 zitakua zikitolewa kila siku, kila wiki na kila Mwezi , Tuma Neno SOKA kwenda namba 15670 sasa na USHINDE.”

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!