Home Makala HII NDIO DAWA YA KUONDOKANA NA MADENI YA FEDHA

HII NDIO DAWA YA KUONDOKANA NA MADENI YA FEDHA

Naitwa Hassan mkazi wa Nairobi, Kenya, niliwahi kupitia hali ya kupata fedha mwisho wa mwezi lakini yote inaisha kwenye kulipa madeni yangu, kusema kweli ni hali ambayo ilikuwa ikiniumiza sana.

Ilifika wakati nikahisi ya kwamba nimekuwa mtumwa wa kufanyia watu kazi maana kila nilipopokea mshahara wote uliishia kwenye kulipa madeni na mimi kubakiwa na nauli tu ya kwenda kazini kwangu. 

Unajua kuna watu wanafanya kazi na kupokea kiasi kikubwa cha mshahara kila mwisho wa mwezi lakini wamekuwa wakiishi maisha ya duni sana yenye msongo mkubwa wa mawazo, ndivyo ilivyokuwa kwangu. 

Yote hii ni kutokana na kuandamwa na madeni katika maisha yao, kila senti wanayopata inaishia kulipa madeni ambayo hawajui ni lini hasa watayamaliza kutokana na hali yao ya uchumi.

Basi, kutokana na hali hiyo nilikuwa nalazimika tena kukopa baadhi ya vitu kama unga, mchele, sukari, gesi, mafuta ya kula na hata fedha ili kuweza kuendesha maisha yangu hadi pale ambapo nitapokea mshahara tena.

Utaratibu ukaendelea vile vile, kufika mwisho wa mwezi ambapo napokea tena mshahara, deni linakuwa limeongezeka kwa kiasi kikubwa hivyo najikuta mshahara unaisha ndani ya siku mbili.

Basi ulifika wakati nikawa namlipa yule mtu ambaye anaonekana kunidai sana kwa fujo, kuna muda niliogopa hata kutembea mtaani maana kila kona yenye dukani nilikuwa nadaiwa, tena naposema kudaiwa ni zile fedha nyingi.

Huu ndio ulikuwa mtindo wangu wa maisha, hata ofisini nilikuwa nakopa ili kuweza kulipa madeni, lakini bado hiyo haikutosha kwani kuna watu walikuwa wananidai fedha nyingi na kuamua kunikamata na kunipeleka Polisi kisa madeni yao.

Ndugu zangu ndio waliokuja kunilipia fedha hizo na kuwa huru, tulirudi nyumbani na kuniuliza tatizo ni nini hasa, niliwajibu nimekuwa nikifanya kazi na kupokea mshahara lakini fedha sizioni, hivyo nakuwa na madeni kila sehemu.

Waliniambia nitakuwa na tatizo, ndipo wakapiga simu kwa Kiwanga Doctors na kuomba msaada wao, nashukuru watu hao walifanya tiba yangu ya matambiko na tangu wakati huo nikawa naona fedha zangu zinaenda wapi. Sikuwa na madeni tena maishani mwangu na sasa nimeweza kufanya maendeleo lukuki.

Kwa simulizi au maelezo zaidi, karibu www.kiwangadoctors.com, mpigie kwa namba +254 769404965.

Mwisho.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!