Home Kitaifa HALMASHAURI YA SIKONGE YATAKIWA KULIPA MADENI.

HALMASHAURI YA SIKONGE YATAKIWA KULIPA MADENI.

Halmashauri ya mji wa Sikonge mkoani Tabora imeagizwa kuwalipa stahiki zao waliokuwa wajenzi wa Hospitali ya wilaya hiyo iliyojengwa mwaka 2019.

Agizo hilo limetolewa na Katibu wa NEC itikadi,uenezi na mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi baada ya kusoma mabango yaliyokuwepo kwenye mkutano wake uliofanyika leo mjini Tabora.

Mwenezi Paul Makonda katika maelekezo yake pia akiwa mjini Tabora amekemea uzembe unaofanywa na watendaji wa serikali na kusababisha kadhia kwa wananchi.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!