Home Michezo GWALABET BETI MKEKA KWA TSH. 500 UJINYAKULIE KITITA CHA KUANZIA MILION MOJA...

GWALABET BETI MKEKA KWA TSH. 500 UJINYAKULIE KITITA CHA KUANZIA MILION MOJA KILA WIKI

NA Magrethy Katengu

GWALABET, kampuni pekee Tanzania inayowapa wachezaji fursa ya kubet bure imezindua kampeni mpya iliyopewa jina la ‘Jipigie tu’. kila mchezaji atakaye suka mkeka na kucheza kiwango cha kuanzia shilingi 500 atapata pointi za bure za kujishindia hadi milioni moja kila wiki.

Akizungungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar es salaam Balozi wa kampeni hiyo, Msanii maarufu wa muziki Feza Kessy amesema hii ni fursa kwa wachezaji wa GwalaBet na wale wanaojiunga kufaidika kupitia Bet zao.

“Kila unapoweka mkeka wa kiwango chochote cha pesa unapata pointi za bure kuingia kwenye droo ambayo utaweza kujishindia hadi milioni 1 kila wiki hata mkeka wako usipotiki,” amesema Feza.

Kwa upande mwingine Meneja Masoko wa GwalaBet, Stephen Mokiwa amesema walifanya utafiti na kugundua wateja wao wengi wanapenda huduma za GwalaBet lakini hawana simu janja na wengine hukwama pale simu zao zisipokuwa na bando la intaneti pia wameamua kuzindua rasmi huduma ya kubeti na simu za vitochi.

“Tunawatangazia rasmi kwamba hata kama una simu ya kitochi au labda umeishiwa bando unaweza kubet na GwalaBet kupitia namba zetu za USSD ambazo ni 14928#.

Kubwa zaidi ni kwamba kupitia kampeni hii wateja wote wa tigo na Airtel wanaobet kwa vitochi hawatakatwa makato ya aina yoyote ya kutumia USSD kama ilivyo kawaida,” amesema Mokiwa.

Kampeni hii inalenga kugusa makundi matatu, kila anayecheza anapata fursa ya kushindi hadi milioni moja kila wiki, kila mteja mpya atapata fursa ya kubet bure kwa siku saba mfululizo.

Vilevile kwa wale ambao wana simu za vitochi wanaweza kucheza kupitia USSD ambayo ni 14928#.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!