Home Kitaifa GST YAENDELEA KUTOA ELIMU MAJANGA YA ASILI MANYARA

GST YAENDELEA KUTOA ELIMU MAJANGA YA ASILI MANYARA

Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) imeendelea kutoa elimu na tahadhali ya kujikinga na Majanga ya Asili hususan katika kipindi hiki kinachotabiriwa kutokea kwa mvua za Elnino katika maeneo mbalimbali nchini.

Elimu hiyo imetolewa na Meneja wa Sehemu ya Mapping Economic Geology na Mkuu wa Kitengo cha Majanga ya Asili Gabriel Mbogoni pamoja na wataalumu kutoka GST katika maonesho ya Wiki ya Maafa yanayoendelea katika viwanja vya Stendi ya zamani Mjini Babati.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!