Home Kimataifa DKT. NCHEMBA ASHIRIKI MKUTANO WA KAMATI YA MAWAZIRI WA FEDHA NA UWEKEZAJI... Kimataifa DKT. NCHEMBA ASHIRIKI MKUTANO WA KAMATI YA MAWAZIRI WA FEDHA NA UWEKEZAJI WA SADC-KINSHASA By Joseph Nelson - July 21, 2023 FacebookTwitterPinterestWhatsAppLinkedinEmailTelegramCopy URL Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) kushoto na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Silaoneka Kigahe (MB), wakishiriki Mkutano wa Kamati ya Mawaziri wa Fedha na Uwekezaji wa jopo la Mapitio ya Uchumi Mpana wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), uliofanyika Mjini Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia Congo (DRC) Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt Mwigulu Lameck Nchemba akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Mawaziri wa Fedha na Uwekazaji kutoka nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa SADC uliohusu Mapitio ya Uchumi Mpana wa Jumuiya hiyo, uliofanyika mjini Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia Congo (DRC)