Home Kitaifa DKT.DIMWA-ASIFU KASI YA UTEKEKLEZAJI WA MIRADI YA MAJI NCHINI

DKT.DIMWA-ASIFU KASI YA UTEKEKLEZAJI WA MIRADI YA MAJI NCHINI

NAIBU Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dk. Mohammed Said Mohammed ‘Dimwa’,akizungumza na wananchi katika mradi wa ujenzi wa tanki la lita milioni moja linalojengwa katika kijiji cha Bubwini Dundua, Wilaya ya kaskazini ‘’A’’.

visiwa vidogo wanapatiwa maji safi na salama ifikapo 2025.

Hivyo alisema, serikali ya awamu ya nane chini ya uongozi wa Dk. Hussein Ali Mwinyi imepokea agizo hilo na kwamba wasaidizi wake kwa ngazi ya mkoa wanayatekeleza na kusimamia kazi hiyo.

Hivyo alisema, mkoa huo wanaendelea na ujenzi wa matanki na uchimbaji wa visima takribani vinne ambapo vyote vimekamilka na eneo jengine ni ulazaji wa mabomba lengo likiwa ni upatikanaji wa maji katika mkoa huo uwe ni wa uhakika.

MWISHO

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!