Home Kitaifa DKT. BITEKO ATEMBELEA BANDA LA REA KATIKA MKUTANO WA NISHATI 2024 JIJINI...

DKT. BITEKO ATEMBELEA BANDA LA REA KATIKA MKUTANO WA NISHATI 2024 JIJINI ARUSHA

📌Apokea taarifa ya miradi ya REA inayoendelea nchini

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametembelea banda la Wakala wa Nishati Vijijini (REA) katika Mkutano wa Kikanda wa Matumizi Bora ya Nishati 2024 unaofanyika leo tarehe 4 Disemba, 2024 jijini Arusha.

Zifuatazo ni baadhi ya picha katika mkutano huo.

Taarifa rasmi itawasilishwa

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!