Na Magrethy Katengu
Kampuni inayoongoza kwa kubashiri MERIDIANBET kwa kushirikiana na kampuni inayotoa malipo kwa njia ya simu Tigopesa wamezindua promotion mpya ya ”Chomoka na Bajaji” kwa mashabiki wa kubashiri wakiwa popote kuanzia Machi 5 hadi Aprili 31,2024 .
Ameyasema hayo leo Machi 5,2024 Jijini Dar es salaam Mwakilishi wa Meridianbet Tanzania Allan Rwebogora amesema kila siku wateja wote wanawekaa pesa kwenye akaunti zao za kubashiri kwa zaidi ya Tsh 25,000 za Kitanzania watapata spins za bure kwenye michezo ya kasino zikiwapa fursa ya ziada ya kushinda kwa kiasi kikubwa wakati wa kubashiri michezo yao .
“Kila za wiki kuna zawadi Washiriki wana nafasi ya kushinda zawadi za kuvutia ikiwa ni pamoja na bonasi asilimia 10 itakayowekwa kwenye akaunti Tigopesa zao za kubashiri moja kwa moja huku washindi watatu wengine wenye bahati watakaochaguliwa kupokea simu mpya za kisasa” amesema Rwebogora
Naye Meneja Biashara wa Kampuni ya Tigo Fabian Felician amewahimiza wateja wa Tigo kuchukua fursa hiyo kuweka pesa kwenye akaunti zao za kubashiri na Meridianbet kupitia Tigo pesakwa kupiga 15001#kuchagua malipo ya bili kisha kuingiza namba ya biashara 444999 ikifuatiwa na kiasi .
Aidha washindi watachaguliwa kupitia droo za kila siku na droo kuu ya wiki itafanyika kila ijumaaa kupitia mitandao ya kijamii hivyo