Home Kitaifa CCM WAANZA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI NGAZI YA MASHINA

CCM WAANZA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI NGAZI YA MASHINA

Mwenyekiti wa CCM kata ya Kitangiri Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza ameongoza zoezi la kusikiliza kero za wananchi ikiwa ni maandalizi ya kuelekea kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa

Akizungumza katika mkutano huo Ndugu. Enos Hange amewataka wananchi ngazi ya mashina na tawi kuendelea kukiamini Chama cha Mapinduzi chini ya Ris Mhe. Samia Suluhu Hassani ambae anakiongoza chama hicho kwa sasa.

Kwa upande wake Katibu wa CCM kata hiyo Ndg. Shabani Gwasa amewataka wananchi wajitokeze kwa wingi na kuchangamkia nafasi za uongozi katika ngazi tofauti tofauti

Mkutano huo wa hadhara umeenda sambamba na kusajili wanachama wa Chama Cha Mapinduzi kwa kutumia mfumo wa kidijitali.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!