Home Kitaifa BRELA YARASIMISHA BIASHARA ZA WADAU NANENANE MBEYA Kitaifa BRELA YARASIMISHA BIASHARA ZA WADAU NANENANE MBEYA By Joseph Nelson - August 3, 2022 FacebookTwitterPinterestWhatsAppLinkedinEmailTelegramCopy URL Baadhi ya wadau wakipatiwa huduma za kurasimisha biashara, katika banda la Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), katika Maonesho ya Wakulima Nanenane yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya. Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni(BRELA), Bw. Godfrey Nyaisa, akipata maelezo kutoka kwa Afisa wa GS1 Bi. Clementina Kahamba, kuhusu masuala ya Msimbomilia alipotembelea banda hilo mapema leo, kwenye Maonesho ya Wakulima ya Nanenane yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya.