Home Kitaifa Bashungwa: Kama hujafikisha 60% asipangiwe kazi nyingine

Bashungwa: Kama hujafikisha 60% asipangiwe kazi nyingine

Waziri wa ujenzi, Innocent Bashungwa amewaagiza Wakala ya Barabara Tanzania (Tanroads ) kutomaliza kazi nyingine Mkandarasi ambaye hajafikisha asilimia 60%ya kazi za awali Ili kuondokana na hali ya Kumrundikizia kazi za Mkandarasi Mmoja.

Hayo yamebainishwa hii Leo Jijini Mwanza katika Ufunguzi wa kikao Cha Makamdarasi kilichofanyika katika Ukumbi wa Gold Crest Mwanza lengo Kuu ni kuwajengea uwezo,na kutekeleza Miradi Kwa Wakati dhamira ya Selikali lakini pia kuwasaidia wazawa alisema Bashungwa

Nawaagiza Tanroads kama kuwa wakandarasi wanaotekeleza Barabara au kazi nyingine ya Ujenzi na wako chini 60/ Msiwape Miradi mipya

Bushungwa amesema wakandarasi wengine wanatum sio wananyakati mgumu katika utekelezaji wa Barabara.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!