Home Kitaifa UJENZI WA GATI MPYA BANDARI YA MTWARA UMEGHARIMU TSH. BILIONI 157.8

UJENZI WA GATI MPYA BANDARI YA MTWARA UMEGHARIMU TSH. BILIONI 157.8

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametembelea Bandari ya Mtwara ambapo pia amekagua gati mpya yenye urefu wa mita miatatu ikiwa na uwezo wa kuhudumia meli yenye uzito wa hadi tani elfu sitini na tano

Ujenzi wa gati hiyo umeiwezesha Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kuongeza uwezo wa kuhudumia shehena katika bandari ya Mtwara kutoka tani laki nne hadi kufikia zaidi ya tani milioni moja kwa mwaka.

Ujenzi gati hiyo umegharimu shilingi bilioni 157.8

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!