Home Kitaifa AJIKATA SEHEMU ZA SIRI AKIDAI KUCHOSHWA NA UGONJWA ZAIDI YA MIAKA MITANO

AJIKATA SEHEMU ZA SIRI AKIDAI KUCHOSHWA NA UGONJWA ZAIDI YA MIAKA MITANO

Maiko samweli (32 ) anadaiwa kujikata na kuzinyofoa sehemu zake za Siri Kwa Madai ya kuchoshwa na Maradhi yanayomsumbua ambayo hayakuwekwa wazi.

Mkazi wa Kijiji Cha kitilwa kata ya Ilula wilaya kwimba Mkoani Mwanza Marko Samweli (32) anatibiwa katika hospital ya Rufaa ya Kanda ya Bugando chini ya jeshi la Police baada ya kujikata na kuondoa sehemu zake za Siri Kwa kutumia kisu Kwa Madai ya kusumbuliwa na tatizo ilo ambalo linamsumbua.

Samweli anadaiwa kujifanyia kitendo hicho Cha kikatili saa3 Mwaka huu muda wa saa7 usiku Madai ya kuwa amechoka kuuguzwa na ugojwa uliomsumbua zaidi ya Miaka5 Sasa.

Haidha,kamanda wa Mkoa wa Mwanza Willboard Mutafungwa amesema Mwanaume huyo alijikata Kwa kutumia kisu na kuondoa kabisa uume wake jambo lililosababishwa kupoteza damu nyingi kwenye Mwili wake na kupelekwa katika hospital ya kwimba lakini Kwa Sasa yupo hospital ya Rufaa Bugando chini ya Uangalizi wa Police.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!