Home Kitaifa RAIS SAMIA ATENGUA UTEUZI WA MKURUGENZI MKUU -TPA Kitaifa RAIS SAMIA ATENGUA UTEUZI WA MKURUGENZI MKUU -TPA By Emmanuel PS - July 4, 2022 FacebookTwitterPinterestWhatsAppLinkedinEmailTelegramCopy URL Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 04, 2022 ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Ndg. Eric Hamis na kumteua Ndg. Plasduce Mkeli Mbossa kuchukua nafasi hiyo.