Home Kitaifa RAIS DKT SAMIA AZINDUA HOSPITALI YA HALMASHAURI YA HANDENI Kitaifa RAIS DKT SAMIA AZINDUA HOSPITALI YA HALMASHAURI YA HANDENI By ASHRACK HABIBU MIRAJI - February 23, 2025 FacebookTwitterPinterestWhatsAppLinkedinEmailTelegramCopy URL Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi wa Hospitali ya Halmashauri ya wilaya ya Handeni iliyopo Mkata mkoani Tanga tarehe 23 Februari, 2025.