![](https://www.mzawa.co.tz/wp-content/uploads/2025/02/IMG-20250213-WA0165-1024x682.webp)
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Balozi, Dkt.Pindi Chana(Mb) akipitishwa katika taarifa ya maendeleo ya ujenzi wa barabara kutoka Loduare – Golini (83km) pamoja na kipande cha kuunganisha Makumbusho ya Bonde la Olduvai (5km) katika kiwango cha tabaka gumu ndani ya Hifadhi ya Ngorongoro(NCAA).
Kikao hicho kilichohudhuriwa na Kamishna SACC- Salma Chissonga, Kaimu Makamishna kutoka NCAA na Kamati ya Uhifadhi wa Faru Kitaifa kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii kimefanyika leo Februari 13,2025 jijini Dodoma.
![](https://www.mzawa.co.tz/wp-content/uploads/2025/02/IMG-20250213-WA0164-1024x682.webp)