Home Kitaifa MAGIFTI YA KUGIFTI WIKI YA 10 , ZAIDI YA MILIONI 250 ZIMETOLEWA...

MAGIFTI YA KUGIFTI WIKI YA 10 , ZAIDI YA MILIONI 250 ZIMETOLEWA KWA WATEJA WA YAS WANAOFANYA MIAMALA , FANYA SASA UIBUKE MSHINDI

 Na Mwandishi Wetu.

Mtandao namba moja nchini kwa utoaji wa Huduma za Kidigitali Yas Tanzania , kupitia Kampeni yake ya MAGIFTI YA KUGIFTI umeendelea kukonga mioyo ya wateja wake kwa kuwazawadia zawadi mbalimbali za Fedha Taslimu Milioni 1 – 5 , Simu Janja na Zawadi za Magari Mapya kabisa , ambapo hadi sasa wiki ya 10 Mtandao huo umeshatoa zawadi za Fedha zaidi ya Milioni 250 , unachotakiwa kufanya ili kuibuka mshindi wa zawadi hizo ni kununua Vifurushi kupitia MIXX BY YAS ( zamani Tigo Pesa ) , kufanya miamala , malipo ya Kiserikali n.k ndo siri pekee ya ushindi .

Akizungumza wakati wa kukabidhi zawadi kwa baadhi ya Washindi wa Wiki hii ya 10 Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja Yas – Bi. Mwangaza Matotola amewasihi wateja , na watanzania kwa ujumla kufanya miamala ya Mixx by Yas kwa wingi ndani ya Wiki hizi mbili zilizobaki ili kujishindia simu , Fedha na Zawadi kubwa ya Gari. 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!