Katika kuhakikisha Kilimo cha Umwagiliaji kinamkomboa mkulima Mkoani Tanga pamoja na Wilaya zake, Serikali ya Awamu ya Sita Chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imetenga Bilioni 110 kwa kutekeleza Miradi mbalimbali ya Tume ya Umwagiliaji Nchini Katika mkoa wa Tanga.
Wananchi na Wakulima wa Kilimo cha mwagiliaji wameipongeza Serikali ya Awamu ya Sita Kwa kuona Kilimo cha Umwagiliaji kinatija na manufaa zaidi Kwa kutenga bajeti ya Bilioni 361 Katika Time ya Umwagiliaji.
Nia ya Serikali ya Awamu ya Sita nikumuinua Mkulima Popote pale halipo Kwa kuendelea kutenga Bajeti kubwa na kuhakikisha Miradi yote ya Maendeleo ya Kilimo cha Umwagiliaji inakamilika Kwa Wakati na kuanzisha Miradi Mipya ya Kilimo cha Umwagiliaji.
Cc: @nirc_tz