Mkuu wa wilaya ya Lushoto Zephania Sumaye aongoza wananchi Katika kufanya usafi maeneo Mbalimbali ya wilaya ya Lushoto na zoezi la upandaji miti kwenye hospital ya wilaya hiyo hikiwa ni siku ya mahadhimisho ya kumbukizi ya miaka 63 ya Uhuru wa Tanganyika
Sambamba na hayo Dc sumaya amewasisitizia wananchi kufanya Usafi kwenye masoko na sehemu Mbalimbali za biashara zao na kuhimalisha kampeni za upandaji miti
Sumaye amemshukuru Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuelekeza maadhimisho ya miaka 63 ya Uhuru wa Tanganyika kufanyika kwa shughuli za kijamii hususani usafi na upandaji miti.