Katika kuazimisha siku ya Demokrasia duniani, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ameandika Makala yenye kubeba ujumbe na mwelekeo thabiti wa kuienzi na kuikumbatia Demokrasia yenye usawa na haki ili kujenga Umoja na mshikamano.