Na Mwandishi Wetu.
Mkurugenzi Uendeshaji, Tigo Pesa Bw. Arnold Ngarashi, akimpa mteja elimu kuhusu huduma ya simu za mkopo, katika wiki ya maadhimisho ya huduma za kifedha, Ruandanzovwe, Mkoani Mbeya. Maadhimisho hayo yanalenga kuelimisha wananchi kuhusu matumizi ya huduma rasmi za Fedha pamoja na kuongeza mchango wa Sekta ya Fedha.