Home Kitaifa MHE. RAIS MWINYI AWATAKA WATUMISHI WA UMMA KUWA WAADILIFU

MHE. RAIS MWINYI AWATAKA WATUMISHI WA UMMA KUWA WAADILIFU

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amewahakikishia Wanzanzibari  Serikali yake itachukua hatua zaidi za kuhakikisha inadhibiti ubadhirifu wa fedha.

Ameyasema hayo leo alipojumuika na waumini katika Msikiti wa Mabuluu uliopo mkoa wa Mjini Magharibi baada ya Ibada ya Sala ya Ijumaa .

Pia, Rais Dk.Mwinyi amewataka watumishi wa umma kuwa waadilifu na waaminifu katika majukumu wanayopewa hivyo ni jukumu la waumini wa dini kuhimizana mara kwa mara.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!