Home Kitaifa MANUSURA ACHAGULIWA TENA KWA KISHINDO

MANUSURA ACHAGULIWA TENA KWA KISHINDO

BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela limefanya Uchaguzi na Kupata Naibu Mstahiki Meya Kwa Kipindi Cha Mwaka wa Fedha 2024/2025

Akizungumza Naibu Meya Manusura Sadick Ambae Pia ni Diwani wa Kata ya Buzuluga amewashukuru Baraza la Madiwani Kwa kumuamini na kumchagua Kwa Kishindo amewahakikishia kuwapa Ushirikiano kuwapa Ushirikiano Madiwani Wenzake Pamoja na kuhahidi kusimamia Fedha zote za Maendeleo zitakazoletwa na Serikali

Diwani uyooo ni Mara ya Tano kushika nafasi hiyo Baada ya kufanyika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020

Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela Renatus Malunga amesema katika kikao Cha Baraza la Madiwani Cha robo Ya Nne ya Mwaka wa Fedha wa 2023/2024 kilichoenda Sambamba na Uchaguzi wa Naibu Meya ameeleza Jumla ya kura 27 za Ndio sawa na asilimia 1000 zilizopigwa Kwa ajiri ya kumchagua Naibu Meya

Naye Ernest Bujiku ni Mwenyekiti wa Ccm Wilaya ya Ilemela amewataka Madiwani hao kushirikiana Ili katika Ilani ya Uchaguzi na Shughuli za Maendeleo kusonga mbele Pamoja kusisitiza
Kuwa Chama hakitamvumilia yeyote anaekwamisha Jitihada za Maendeleo

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!