Home Kitaifa MHESHIMIWA WAZIRI MKUU MSTAAFU PINDA AMSHAURI MR. MANGURUWE AHIMALISHE MIUNDOMBINU YA SHAMBA...

MHESHIMIWA WAZIRI MKUU MSTAAFU PINDA AMSHAURI MR. MANGURUWE AHIMALISHE MIUNDOMBINU YA SHAMBA LAKE

Waziri mkuu Mstaafu wa nne Mheshimiwa. Mizengo Pinda amemshauri Mkurugenzi kutoka @kijiji cha Nguruwe Simon Mkondya maalufu Mr Manguruwe ahimalishe miundombinu ya shamba lake la mifugo ili aendelee kupata tija katika ufugaji wake.

Mheshimiwa Pinda ametoa Ushauri huo wakati Mr Manguruwe alipofika nyumbani kwa Waziri Mkuu huyo Mstaafu kumtembelea ambapo aongea mambo mbalimbali ya maisha na ufugaji.

Ndipo Mheshimiwa Pinda alimshauri Mr Manguruwe ajenge miundombinu bora na mizuri katika shamba lake la Nguruwe huko mkoani Dodoma katika Kijiji cha Nguruwe.

Mheshimiwa Pinda alisema anamfahamu Mrmanguruwe na anafurahi kuona jitihada anazofanya katika shughuli zake za ufugaji na kuahidi kufika katika shamba hilo la Manguruwe kushuhudia mradi huo wa ufugaji.

Aidha @mrmanguruwe alisema kwamba amefurahi sana kukutana na mhe Pinda kwani zilikuwa ndoto zake za muda mrefu, amefurahi pia kwakupata uzoefu kutoka kwa Mhe Pinda.
+++++

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!