Diwani mstaafu wa Kata ya Somangira Mhe. Francis Masanja Chichi amewataka wananchi kuendelea kumuunga mkono Mhe Rais Samia kwa kazi nzuri anayoifanya.
ameyasema hayo kwenye mahojiano na waandishi wa habari yaliyofanyika Kata ya Somangira Tarafa ya Geza Juu Wilaya ya Kigamboni.