Home Kitaifa RC ROSEMARY SENYAMULE AKUTANA NA WAWAKILISHI WA CHAMA CHA WANAWAKE MADEREVA...

RC ROSEMARY SENYAMULE AKUTANA NA WAWAKILISHI WA CHAMA CHA WANAWAKE MADEREVA NCHINI JIJINI DODOMA

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule ametembelewa na ugeni kutoka Chama cha Wanawake Madereva Tanzania (CWMT) wenye lengo la kujitambulisha na kuomba nafasi ya kujenga chuo cha madereva wanawake katika Mkoa wa Dodoma.

Mazungumzo hayo yamefanyika leo tarehe 12 June 2024 kwenye ofisi yake iliyopo kwenye jengo la Mkapa Jijini Dodoma.

Baadhi ya Madereva walioambatana kwenye ofisi hizo ni Madereva wa Treni, Ndege, Meli na Lori kutoka mikoa tofauti tofauti ya hapa nchini.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!