Home Kitaifa MHE. RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI BAADA YA KUHESABIWA Kitaifa MHE. RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI BAADA YA KUHESABIWA By Joseph Nelson - August 23, 2022 FacebookTwitterPinterestWhatsAppLinkedinEmailTelegramCopy URL Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya kuhesabiwa katika Makazi yake Chamwino Ikulu Mkoani Dodoma tarehe 23 Agosti, 2022 katika shughuli ya Sensa ya Watu na Makazi.