Ubalozi wa Tanzania nchini Nigeria, umetunukiwa tuzo katika maonesho ya Kumi na Tano ya 15 ya Sanaa (15th International Arts and Crafts Expo) yaliyofanyika Agoosti 18-20, 2022 Jijini Abuja. Katika maonyesho hayo Tanzania imeshinda tuzo ya Best Exhibitor in E. Marketing.
Aidha, maonyesho hayo yalihusu Utalii, Uwekezaji na Bidhaa mbalimbali.