Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili na kukaribishwa na Viongozi mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi na Serikali wa Mkoa wa Katavi.
Dkt. Nchimbi ameambatana na Katibu wa NEC – Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Amos Makalla Pamoja na Katibu wa NEC – Oganaizesheni Ndugu Issa Ussi Haji Gavu.