Home Kitaifa PM. MAJALIWA NA MKEWE WASHIRIKI IBADA YA KUMBUKUMBU YA MIAKA 40 YA...

PM. MAJALIWA NA MKEWE WASHIRIKI IBADA YA KUMBUKUMBU YA MIAKA 40 YA KIFO CHA HAYATI SOKOINE

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary Majaliwa wakisalimiana na wajane wa aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Moringe Sokoine, Nekiteto Sokoine (wa pili kushoto) na Napono Sokoine (wa tatu kushoto) walipowasili Monduli Juu kushirikiki Ibada ya Kumbukumbu ya Miaka 40 ya Kifo cha Hayati Edward Moringe Sokoine, Aprili 12, 2024. Kushoto ni mtoto wa Hayati Sokoine, Namerok Sokoine.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!