Home Kitaifa RAIS SAMIA AWASILI MBEYA KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU 4

RAIS SAMIA AWASILI MBEYA KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU 4

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Innocent Bashungwa na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali wakati alipowasili Uwanja wa Ndege wa Songwe Mkoani Mbeya

Mheshimiwa Rais atakuwa na ziara ya Kikazi ya siku nne Mkoani Mbeya ambapo atatembelea na kukagua miradi ya maendeleo na kuongea na wananchi katika wilaya tofauti Mkoani Mbeya.

Picha na Eliud Rwechungura – OR TAMISEMI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!