Home Kitaifa MAKONDA AMBANA WAZIRI WA FEDHA KUHUSU MIKOPO YA KAUSHA DAMU

MAKONDA AMBANA WAZIRI WA FEDHA KUHUSU MIKOPO YA KAUSHA DAMU

Katibu wa NEC – Itikadi na Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Ndugu Paul Christian Makonda mbele ya Wananchi wa Singida wakati anasikiliza kero zao leo Januari 25, 2024 alimuuliza Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba Maswali Matatu kuhusu Changamoto wanazozipitia Juu ya mikopo inayoitwa Kausha damu

Yakiwemo ni nani anayepiga mahesabu ya riba ,Je wana leseni ? Na Yeye kama Waziri wa fedha kwenye riba yao anachukua Shillingi ngapi?

Riba wanayopata inakua kwao si Waziri wala wizara ya fedha kilichofanyika leseni zote zimepitiwa upya na zinatolewa kwa masharti ,Zipo leseni ambazo zilishafutwa kwa sababu ya masharti ya riba kubwa ambazo hazina ubinadamu ndani yake pili kwasababu ya unyanyasaji kwa wale wenye maabusu zao ,Kama kuna jambo mahususi ambalo bado linaendelea iwe hapa Singida au eneo lolote Wananchi wafike ofisi za mkuu wa mkoa sisi tutachukua hatua na leseni itafutwa ” Waziri wa fedha Mwigulu lameck Nchemba.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!