Home Kitaifa OLIVIA WA BUKOBA ASHINDA MILIONI 10 YA MAGIFTI DABO DABO

OLIVIA WA BUKOBA ASHINDA MILIONI 10 YA MAGIFTI DABO DABO

Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa Joseph Mutalemwa(kulia) akimkabidhi mfano wa hundi Shilingi milioni kumi Mshindi wa Magifti Dabodabo mkazi wa kijiji cha Rushaka, Kitongoji cha Bweigilo kata ya Bwendangabo wilayani Bukoba mkoani Kagera Olivia Pastory baada ya kuibuka mshindi katika hafla iliyofanyika nyumbani kwao mshindi,katikati ni Meneja wa Tigo Mkoa wa Kagera Robert Paul akishuhudia.

Na Mwandishi Wetu.

Kampuni ya huduma za simu za mkononi ya Tigo kupitia promosheni yake ya Magifti Dabodabo imemkabidhi mkazi wa kijiji cha Rushaka wilayani Bukoba mkoani Kagera Olivia Pastory kiasi cha Shilingi Milioni kumi baada ya kuibuka mshindi

Akizungumza kwenye hafla ya makabidhiano Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa Joseph Mutalemwa amewakumbusha wakazi wa kijiji hico kuendelea kufanya miamala mbalimbali kupitia mtandao wa tigo ili kujiongezea nafasi ya kushinda zawadi.

Mshindi wa Magifti Dabodabo Olivia Pastory akaeleza namna pesa hiyo itakavyomsadia kulipia ada yake na wadogo zake

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!