Home Kitaifa RAIS DKT.MWINYI AWASILI PEMBA.

RAIS DKT.MWINYI AWASILI PEMBA.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mama Mariam Mwinyi amewasili Pemba kwa ziara ya kikazi ataweka mawe ya msingi ya ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo na mingine kuifungua katika shamrashamra za Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Katika uwanja wa ndege wa Pemba amepokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Mattar Zahor Masoud pamoja na viongozi wa Chama cha Mapinduzi na Serikali.

🗓️02 Januari, 2024

📍Mkoa wa Kusini Pemba.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!