Home Kitaifa MBUNGE JANETH AZINDUA KAMPUNI YA VIJANA YA KUTOA AJIRA ZA KILIMO NA...

MBUNGE JANETH AZINDUA KAMPUNI YA VIJANA YA KUTOA AJIRA ZA KILIMO NA UINGIZAJI MAGARI NCHINI

Mbunge wa viti mahalum wanawake mkoa wa Dar es salaam Janeth Mahawanga Mbunge wa viti mahalum wanawake mkoa wa Dar es salaam Janeth Mahawanga Amesema Serekali inapambana kutafuta wawekezaji kutoka nje ya nchi na kuwainua wa ndani Kwa lengo la kutanua wigo wa ajira na kukuza uchumi wa Taifa.

Ameyesema hayo Jijini Dar es salamu katika uzinduzi wa kampuni ya kitanzania ya Asantemotors ambayo imetoa ajira Kwa watu zaidi ya 15.
Pia ametoa wito Kwa wakulima kujitokeza Ili waweze kuagiza matreka kwaajili ya kilimo Cha bihashara na kuachana na kilimo Cha mkono.

Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Asantemotors ametoa wito Kwa serekali kuwashika mkono Kwa wawekezaji wazawa Ili kuweza kuwainua na kukuza uchumi wa Taifa

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!