Waziri wa ujenzi, Innocent Bashungwa amewaagiza Wakala ya Barabara Tanzania (Tanroads ) kutomaliza kazi nyingine Mkandarasi ambaye hajafikisha asilimia 60%ya kazi za awali Ili kuondokana na hali ya Kumrundikizia kazi za Mkandarasi Mmoja.
Hayo yamebainishwa hii Leo Jijini Mwanza katika Ufunguzi wa kikao Cha Makamdarasi kilichofanyika katika Ukumbi wa Gold Crest Mwanza lengo Kuu ni kuwajengea uwezo,na kutekeleza Miradi Kwa Wakati dhamira ya Selikali lakini pia kuwasaidia wazawa alisema Bashungwa
Nawaagiza Tanroads kama kuwa wakandarasi wanaotekeleza Barabara au kazi nyingine ya Ujenzi na wako chini 60/ Msiwape Miradi mipya
Bushungwa amesema wakandarasi wengine wanatum sio wananyakati mgumu katika utekelezaji wa Barabara.