Home Kitaifa NYERERE DAY TWENDE MATEMBEZI KAZIMZUMBWI

NYERERE DAY TWENDE MATEMBEZI KAZIMZUMBWI

Na Magrethy Katengu

Ikiwa imesalia siku kadhaa kufanyika siku maalumu ya kumbukidhi ya kifo cha aliyekuwa Raiis wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyeerere CODECO kwa. kushirikiana na TFS wanaadhimisha kwa kufanya Matembezi katika Hifadhi ya Kazimzumbwi Kisarawe .

Akizungumza na Waandishi wa habari Jijini Dae es salaam Mratibu wa maadhimisho hayo kifo cha hayati Julius Nyerere baba wa Taifa ,Stiveen Nchimbi amesema safari hiyo ni kuenzi kwa kusherekea maisha ya Hayati aliyoyaishi enzi . za uhai wake kwa kuwapeleka watu katika matembezi kwani ukiangalia kwa sasa vijana watoto na wazee wamekuwa wakipuuzia suala la. mazorzi hivyo siku hiyo wameifanya kwa upekee wake

”Upo umuhimu wa kuwatembeza wati Kisarawe katika Msitu wa Kazimzumbwi w wakaone vivutio vingi vya utalii kwani unapokuwa ukipita nje huwezi jua ndani kuna nini tutasherekea na kuona umuhimu wa tunu tuliyoachiwa na baba wa Taifa hayati Mwalimu Julius Nyerere” amesema Nchimbi

Naye Afisa Utalii Kinondoni Catherine Melchiory amesema unapoizungumzia Kazimzumbwi unaongelea mapafu ya Mji wa Dar es salaam kwa umuhimu wake kwani hewa ya ukaa yote inayotengenezwa na viwanda na magari inanyonywa na msitu huo kutokana na usili wake .

”Tumepanga kwenda kutembelea wanadar es salaam siku hiyo kwanu haitaarhiri shughuli zetu tumefanya matembezi haya kuenzi kumbukidhi ya miaka 24 tangu kifo cha hayati Rais Julius Kambarage Nyerere na kuunga mkono Jitihada za Rais Dkt $amia $uluhu Hassani”” amesema Catherine

Naye Mdau wa Misitu Neema Lyimo amesema kuna wakati mwanadamu anatakiwa apate hewa ya tofauti huku akifanya mazoez ya viungo ili kuimarisha viungo vyake kwani kiafya ni vizuri sana

gharama za kwenda katika matembezi hayo yatakayofanyika octoba 14,2023 ni Tsh 35000/=ikijumuishwa chakula vinywaji usafiri burudani hivyo tiketi jipatie Moingo house na Mwenge vinyago chumba no 15 na Magati yatapayikana Mlimani city,Mbezi Magufuli, Mpingo house, Oilcom Ubungo hivyo nawaalika watanzania wote tutakuwa Naibu Waziri Maliasili na Utalii.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!