Home Kitaifa MUDRIK SORAGA AFUNGA MAFUNZO YA MRADI WA AWE KISIWANI PEMBA

MUDRIK SORAGA AFUNGA MAFUNZO YA MRADI WA AWE KISIWANI PEMBA

Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Kazi, Uchumi na Uwekezaji Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga jana terehe 19.09.2023 alifunga mafunzo na kuwakabidhi vyeti Wanawake waliohitimu mafunzo ya mradi wa AWE kisiwani Pemba unaofadhiliwa na serikali ya Marekani katika kuwawezesha wajasiriamali wanawake na vijana katika ufanyaji wa shughuli zao kwa utaalamu na ufanisi katika ukumbi wa ZSSF Kariakoo Pemba.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!