Home Kitaifa DKT. ASHATU AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CHINA

DKT. ASHATU AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CHINA

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji(Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo kuhusu kuendeleza uhusiano wa kibiashara na China hususan katika uchakataji wa mazao ya kilimo na Balozi wa China nchini, Mhe. Chen Mingjian katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam Septemba 11, 2023. Tanzania inasafirisha mazao ya kilimo kama parachichi, kahawa, mahindi , ufuta na asali kwenda China.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!