Home Kitaifa Kiwanda kikubwa Cha Sela tapu kuzinduliwa Mwanza

Kiwanda kikubwa Cha Sela tapu kuzinduliwa Mwanza

Wawekezaji mkoani mwanza wameiomba serikali kuondoa vikwanzo ambavyo vinapelekea kuathiri maendeleo ya uwekezaji mdogo mdogo hapa nchi lengo likiwa ni KUKUZA viwanda vinavyochipuka na kuleta TIJA kwa taifa na maendeleo ya viwanda kwa ujumla

Hayo yamesemwa na mkurugenzi wa kiwanda Cha Joha samwe investment co ltd kinacho jishughulisha na uzalishaji wa solatep, ndugu kapocha masatu, ambaye ameiomba serikali kuwasaidia kuweka miondombinu rafiki kwa wawekezaji wadogo wadogo, ambapo pia amesema kuwa viwanda vingi vidogo havina umeme wa uhakika na upatinanaji wa marighafi hapa nchini

Aidha ameendelea kwa kusema, Walianza kazi wakiwa na wafanyakazi 5 Sasa Wana wafanyakazi ambao Wana Ajira rasmi, lakini 48 hawana Ajira rasmi na mwakani WATAKUWA Ajira rasmi

Wamemshukuru Rais samia kupitia TIC wameweza kupata msamaha wa Kodi ambapo wanaleta mashine KUTOKA njee hili waweza kufanya Mambo mengi katika uzalishaji.

Naye katibu tawala wa wilaya ya ilemela Wakili Mariam msemgi, amesema kuwa kufunguliwa kwa kiwanda hicho kitasaidia Kukuza Ajira nchini na kuwataka vijana kuchangamkia fursa za uwekezaji hap nchini hili kuleta Tija ya maendeleo ya taifa

Naye bakari songwe manager Sido mwanza amesema kuwa wamekuwa wakifundisha wajasiliama na kuhakikisha huduma za fedha na bidha za wajasiliamali zinafika sokoni Aidha ameongeza kuwa sido Kuna zaidi ya viwanda 2000 vilivyo pita katika mikono ya Sido.

Ametoa wito kwa vijana kuwa watafute fursa Kwani zipo na wajenge uthubutu wa kuanzisha viwanda vidogo hili kuondoa changamoto ya Ajira hapa nchini.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!