Home Kitaifa LUTUMO AMEWATAKA ASKARI POLISI KUWA NA UTII

LUTUMO AMEWATAKA ASKARI POLISI KUWA NA UTII

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani Kamishina Msaidizi wa Polisi Pius Lutumo, amewataka Askari Polisi kufanya kazi kwa mujibu wa viapo vyao.

Ameyasema hayo leo katika viwanja vya Polisi Mkoa wa Pwani wakati akifunga mafunzo ya awamu ya pili yaliyofanyika kwa miezi miwili ya kuwajengea uwezo wakaguzi wa Polisi toka Wilaya zote na vikosi vyote Mkoa wa Pwani.

Aidha Kamanda Lutumo amewasisitiza wakaguzi hao kuwa na UTII na hategemei kuona Mkaguzi aliyehitimu mafunzo hayo kufanya kazi kinyume na kiapo chake kwenye kuwahudumia wananchi.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!