Home Kitaifa Kampuni ya Tigo yazindua Duka la Huduma kwa Wateja Kisesa Mkoani Mwanza

Kampuni ya Tigo yazindua Duka la Huduma kwa Wateja Kisesa Mkoani Mwanza

Diwani wa Kata ya Kisesa amezindua Tawi Tigo huduma Kwa wateja Kisesa Mkoani Mwanza Ili kusogeza huduma karibu na Wananchi Maiko Kabadi Ambae ni Diwani wa Kata iyo amesema taasisi nyingi zimekuwa zikifanya Ufumbuzi wa Office bila kuwashirikisha wawakilishi wa wananchi lakini Taasisi ya tigo imekuwa Mfano kwetu viongozi maana ni Mfano wa kuigwa hivyo niwapongeze na niwakaribishe kwenye Kata yangu alisema Kabadi.

Lakini Pia akizungumza jijini Mwanza Mkurugezi tigo Ndg Joseph Mutalemwa Kanda ya Ziwa amesema wao kama Kampuni ya tigo wanatarajia kuwa mikakati ya kuboresha Mawasiliano lakini pia wanatarajia kujenga Minara 2000 Huduma Bora za Mawasiliano Kwasababu Tigo ndiyo kampuni kubwa

Mutalemwa amesema Minara ya Kanda ya Ziwa itakuwa na 4g place itakayo saidia kupata huduma Bora ya kupata Mtandao Bora wa kutumia, wananchi awatapata Shida tena kwenye Suala la internet

Tigo itakuwa na huduma Bora za kutumia Kwa maana Kila Senta kubwa ambayo kama kisesa Buhongwa ,kushiriki,Mkoani itahakikisha wananchi wanapata Huduma kubwa itakuwa na huduma Kwa wateja.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!